King of Swaghili, Gosby ataachia single yake mpya, Monifere aliyowashirikisha Vanessa Mdee na Jux Jumatano ya October 9. Single hiyo imetayarishwa na Pancho Latino, Hermy B na Randy wa B’Hits Kenya.
Hiyo ni single yake mpya baada ya Baby Making Swag, iliyotoka miezi kadhaa iliyopita. Hivi karibuni msanii huyo wa B’Hits Music Group, alifanya interview ya Bongo5 Meets, n kuzungumza masuala mbalimbali kuhusu muziki wake. Mtazame hapo chini.
Credit via: Bongo5
No comments: