Everton wameanza kupata goli dk ya 16 kupitia kwa Romelu Lukaku, huku Manchester City wakisawazisha kupitia kwa Alvaro Negredo dk ya 17 na kuongeza goli lingine katika dk ya 45 lilofungwa na Sergio Agüero mpira ni mapumziko.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: