» » » Picha: Ommy Dimpoz akiwa na rapper The Game, Hollywood, Marekani



Ommy Dimpoz anaitumia vizuri ziara yake nchini Marekani. Baada ya kurekodi wimbo na producer wa Houston, Texas aliyewahi kutengeneza nyimbo za wasanii wakubwa wakiwemo Davido na Wizkid wa Nigeria, hitmaker huyo wa Tupogo amekutana na rapper wa zamani wa kundi la G-Unit, Jayceon Terrell Taylor aka The Game huko Hollywood, Los Angeles nchini Marekani.

Ommy Dimpoz akiwa na The Game (kushoto)

“Tulikuwa wote Club Hollywood, ni club ya mastaa,” Ommy ameiambia Bongo5.

“Jamaa analindwa sana lakini hakuleta pozi coz tulikuwa tupo na mshkaji wangu ambaye ni mshkaji wa Game pia.”

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply