» » Je Unatumia mtandao wa Instagram? Sasa unaweza kum-follow Papa Francis katika Instagram, ikiwa ni mwaka mmoja tangu ajiunge Twitter



Mitandao ya kijamii inazidi kuthibitisha nguvu iliyonayo kiasi cha kuwashawishi viongozi wenye ushawishi mkubwa duniani kujiunga nayo. Katika kuthibitisha hilo Kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amefungua akaunti katika mtandao wa Instagram.


Papa Francis amejiunga na mtandao huo maarufu kwa kushare picha ikiwa ni mwaka mmoja tangu ajiunge na mtandao wa twitter kwa handle ya @Pontifex. Katika Instagram anapatikana kwa jina la ‘Popefrancis’.

Mpaka sasa Papa Francis ana followers zaidi ya milioni 3 Twitter, na amefikisha fans 5, 852 katika mtandao wa Instagram.

SOURCE: MIRROR

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply