Habari kwa Ufupi :

» » » Maua Sama atease wimbo wake mpya, usikilize hapa





Hitmaker wa So Crazy, Maua Sama yupo mbioni kuachia single mpya ambayo hadi sasa jina lake ni siri. Wimbo huo umepangwa kuachiwa wiki ijayo.

sikiliza hapa chini


Wimbo umeandika na Maua Sama mwenyewe na kutayarishwa na Imma The Boy. Video yake imepangwa kutoka wiki ya kwanza ya mwezi November na Nisher akiwa director. Mwakani Maua ataachia albam yake.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Magazetini Leo Jumamosi ya Tarehe 5/10/2013
»
Previous
NEY WA MITEGO NDANI YA EBSS 2013

No comments:

Leave a Reply