Baada ya kumaliza ziara yao ya Marekani na Canada mwezi uliopita mapacha wa kundi la P-Square, Peter na Paul Okoye kutoka Nigeria wanatarajiwa �Personally� kutua bongo kwaajili ya kazi moja tu, �Kuwakilisha�.
Kwa mujibu wa kituo cha EATV, wasanii hao wenye hits nyingi ikiwemo Alingo, Chop My Money na zingine wanatarajiwa kufanya onesho lao Tanzania tarehe 23 November.
EATV wametweet
Na baadaye kupitia ukurasa wao wa facebook wakaweka msisitizo:
�TUTAELEWANA TU MWAKA HUU AU SIO?!! EHHH!!
Sikia hii sasa!! Tanzania kwa mara nyingine tena tunawaleta kwenu ‘P SQUARE’.
Jipange kucheza na PERSONALLY, ALINGO, CHOP MY MONEY na nyingine kibaooooo!!
NOVEMBA patakuwa HAPATOSHII!! JIPANGEEEE !!!!!!!!

No comments: