Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwilile akimkaribisha Mgeni rasmi ambaye ni Waziri Wizara hiyo kutoa hotuba yake kwenye mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa akifungua mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juuya matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili tarehe (04- Oktoba) katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.(P.T)
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.

Balozi wa Swiden nchini Mh. Balozi Lennanrth Hhjelmaker akimshukuru Mgeni rasmi Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa baada ya kumaliza kutoa hotuba ya yake ya ufunguzi wa mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiongea na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa baada ya mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.
No comments: