Habari kwa Ufupi :

» » » Baada Ya Kuhit Na “What Now”, Rihanna Kushirikishwa Na Shakira katika “Can’t Remember To Forget You”


Kaa tayari kusikiliza Collabo kutoka kwa Rihana na Shakira…kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii, hit maker wa “What Now”,Rihanna, ameendelea ku “share” habari nzuri za kufanya ngoma nyingine ambayo amepewa na mkali mzaliwa wa Baranquilla, Colombia, Shakira Isabel Mebarak Ripoll maarufu kama Shakira.



Collaboration hiyo itaachiwa rasmi Januari 13, 2014 itakayokwenda kwa jina la “Can’t Remember To Forget You”

Source: MTV News

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Update: Young Jeezy Amesema Malalamiko ya Kumnyanyasa mtoto wake sio ya kweli na yalipandikizwa na Mama yake
»
Previous
Davido Kufanya Collabo na Msanii huyu ni Baada ya Number 1 Remix Kufanya Vizuri

No comments:

Leave a Reply