Unknown
Wednesday, January 29, 2014
Mke wa Peter Lola Omatayo ameshare baadhi ya picha za familia yake yaani mume wake Peter, na wanao wawili Cameron na Aliona wakiwa katika mjengo wao huko Atlanta, Georgia Marekani. Like father like son, mtot wa Peter wa kiume
Peter akiwa nyumbani kambeba mtoto wake wakiwa wamepumzika
No comments: