Barcelona imefikisha magoli 100 Unknown Friday, February 7, 2014 0 No comments wachezaji 15 tofauti wa timu hiyo wameshirikiana kufunga jumla ya hayo mabao huku,wachezaji 5 kati yao wakiwa tayari wameshafunga zaidi ya mabao 10.Leo Messi 19, Pedro 16, Alexis 15, Cesc 12 and Neymar Jr 11. Share !
No comments: