Vincent Kigosi aka Ray kupitia kampuni yake, RJ Company ameachia trailer ya filamu yake mpya iitwayo Hard Price aliyoigiza na wasanii mbalimbali wakiwemo Jacqueline Wolper, Gabo na Sabrina Tamim aka Sabby Angel.
Tazama trailer yake hapa pamoja na picha za screenshot kutoka kwenye trailer hiyo.
Tazama Trailer ya Hard Price Hapa Chini..
No comments: