» » » » Bushoke Kufunga ndoa na ndugu yake Hasheem Thabeet

Katika mwaka huu wa 2014 unaweza kua ni mwaka mzuri kwa mrembo kabula.Mrembo huyo aliye panda hewani kama mwenye undugu na Hasheem Thabeet inaelekea kama mwaka huu utakuwa mzuri sana kwake kwani yale mahusiano yake ya muda mrefu na mpenzi wake Bishoke sasa ndoa inanukia .



Bongo61 ilipomtafuta hewani alikiri kiwepo kwa ndoa hiyo na mpaka sasa mipango iko sawa kabisa”naolewa kwenye mwezi wa saba hivi then tunahamia south ila detail nitatoa pale tu Bushoke atakapo tua nchini” alisema Kabula. Kabula alipokua juu sana wakati huo ndani ya tamthilia ya Jumba la dhahabu aliwahi kupata mtoto mmoja

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply