Baada ya rumors kuzagaa kwenye media mbali mbali. ikiwemo Blogs na social media mbalimbali kuwa kundi la P-square halipo tena kwa madai kuwa limevunjika, finally ukweli upo mezani, kumbe rumors hizo zilisababishwa na tweet tu ya kaka yao mkubwa ambaye ndio anasimamia shughuli zote za muziki akiwa kama meneja wao, kwa tweet iliyoandikwa:
“After over 10 years of hard work, it’s over. Am done.”
Ila ukweli ni kwamba, hata wao wenyewe hawajawahi hata kusikia mtu akisema kuwa wametengana, “I am too busy to give some wanna be blogger traffic, I don’t know where that report is coming from. Maybe they just want to get traffic to their site. It’s baseless and untrue.” alifunguka msemaji wa kundi hilo ajulikanaye kama Bayo Adetu.
Inasemekana kuwa tweet hiyo iliyosababisha uvumi huo, ni kutokana tu na kwa kaka yao huyo,Jude Okoye ambaye damu haziivi kabisa na mke wa Peter Okoye aiywaye Lola Omotayo, na wala haikuhusiana na kundi lao la Psquare
Tunaomba Maoni yako Hapa :
Category: Entertainment News p square
Related Posts
Aunt Ezekiel aelezea tuhuma za kutoka kimapenzi na Dancer wa Diamond Plantumz
Mwigizaji wa filamu nchini Aunty ezekiel ameelezea tuhuma zilizozogaa siku kadhaa zilizopita kuwa ...Read more »
08Aug2014Wnafunzi hawa wakutwa wakifanya ngono kweupeeee...
Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngon...Read more »
07Aug2014HII NDIO DAWA YA TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME....
Suala la nguvu za kiume kwa sasa limeshakuwa ishu kubwa kwa vijana wengi wa sasa,kwa utafiti uliofan...Read more »
07Aug2014Picha /Video:Hii ndio Ajali iliyotokea Makongo yaua watu 18
Ajali ajali! Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar ...Read more »
21Jun2014Walioshambulia Kenya si Al Shabaab, 'Uhuru Kenyatta'
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema mashambullio yaliyotokea katika mji wa Mpeketoni, Pwani ya Ken...Read more »
17Jun2014Picha: Hvi ndivyo jinsi Director na Kipenzi cha wengi Geogre Tyson alivyoagwa
Mchana wa leo mamia ya Watanzania walifurika katika viwanja vya Leaders Club kuuaga mwili wa Directe...Read more »
04Jun2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: