Habari kwa Ufupi :

» » » Feza Kessy kuachia wimbo mpya ‘My Papa’ , atease kava lake

Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa – The Chase, Feza Kessy, Baada ya kimya kirefu sasa anatarajia kuachia ngoma mpya iitwayo ‘My Papa’. Ngoma hiyo imetayarishwa na producer Nahreel. Hili ni kava la single hiyo.



Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Huyu ndiye Mrembo mwingine kutoka Nigeria aliyefanya collabo na Diamond Platnumz, Pia amsifia Diamond
»
Previous
Video/Picha : Wema Sepetu atinga Ofisi za Global Publishers na kuanzisha Vurugu, Chanzo ni Diamond kuandikwa kutamani Ushoga!

No comments:

Leave a Reply