Habari kwa Ufupi :

» » H.Baba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Tubebane’ aliotumia beat ya ‘Kimbiji’

Mwanamuziki H.Baba anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya, ‘Tubebane’ ambapo wimbo huo umetengenezwa kwa kutumia beat ya wimbo ‘Kimbiji’ wa Bob Junior.


H.Baba alisema  kuwa kwa sasa yupo kwenye maandalizi ya kazi hiyo ambayo itatoka baada ya kumalizika tu.

“Nipo kwenye maandalizi ya video yangu mpya na ya kwanza kwa mwaka huu,nataka mashabiki wangu waenjoy kwa kazi yangu mpya ambayo itakuwa tofauti sana. Kwanza beat nimetumia ya wimbo wa Kimbiji,na wimbo ni ule ambao ulivuja unaitwa ‘Tubebane’ na video wanafanya One Love chini ya Hyper,” amesema H.Baba.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Magazetini leo Ijumaa ya Tarehe 25/4/2014
»
Previous
Music: Samir - Fitina

No comments:

Leave a Reply