Baada ya Jude Okoye, kaka mkubwa wa P-Square ambaye pia ni manager wao kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake Ifeoma Michelle Umeokeke April 24, mwishoni mwa wiki iliyopita mdogo wao wa kike, Mary Okoye pia alivishwa pete ya uchumba.
Mary Okoye alivishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye ni muigizaji wa Nollywood, Emma Emordi.
Familia hiyo inayoundwa na ndugu wenye vipaji sasa inaelekea kuwa familia ya wana ndoa.
Mwezi March, Paul Okoye alifunga pingu za maisha na mama mtoto wake Anita Is
No comments: