» » » Ney wa Mitego asema hawezi kushuka kiwango

Msanii wa muziki Ney Wa Mitego amesema kuwa, Muziki umeweza kubadilisha kwa kiasi kikubwa maisha yake na kumfikisha mahali ambapo ameweza kuwa msanii wa tofauti, na kumpatia dili ambazo kwa upande wake kurudi nyuma kimuziki ni kitu kigumu kutokea.

Ney wa Mitego

Ney amesisitiza kuwa, amefika alipo kwa sababu ya mashabiki na siku zote mashabiki hawa wamekuwa wakielewa kuwa yeye hupiga hatua mbele, kauli ambayo ni ahadi ya kazi nyingine kali kabisa itakayofuatia baada ya hit yake ya sasa inayofahamika kwa jina 'Nakula Ujana.

Katika story na Ney, ambaye kwa sasa amekula mkataba mnono wa ubalozi wa kampuni ambayo kwa sasa bado ni chini ya carpet.

Msikilize hapa akinogea..



Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply