Kutoka Tanzania wasanii 50 wa muziki wa Bongo Fleva, Hiphop, Injili, Dance na Taarab wameungana pamoja na kufanya wimbo wa kuhamasisha Muungano unaotoka April 26 2014. Tazama baadhi ya picha zake hapa.
Diamond na Aslay
Lina Sanga akiimba katika scene yake katika wimbo huo
Wasanii kwa pamoja katika video shooting hiyo
Shaa, Mandojo na Domokaya
Mwasiti akiwa na Martin KadindaDiamond na Aslay
Lina Sanga akiimba katika scene yake katika wimbo huo
No comments: