Home
»
From Bongo Movies
»
JB
»
Mzee Majuto
» Exclusive: Ray na JB kufanya filamu nchini Uturuki kutafuta nani mkali kati yao
Wasanii wakongwe wa filamu nchini, Jacob Stephan aka JB pamoja na Vicent ‘Ray’ Kigosi wanaandaa filamu nchini Uturuki itakayoonesha nani yupo juu zaidi kati yao.
Ray na JB wakiwa na mavazi ya Turkish
Ray amesema kuwa kila mmoja kati yao ana uwezo binsfsi katika kazi ya filamu kwaHiyo filamu hiyo itaamuru nani yupo juu.
“Mimi nilikuwa na movie na JB na tukaanza kushoot kule (Uturuki) lakini matokeo ya msiba wa Adam Kuambiana, tukasitisha zoezi na kuamua kutafuta tiketi kwa pamoja as a group za kuja kwenye masiba,lakini kwa bahati mbaya tukapata tiketi moja tu ambayo tukajadili kwa pamoja tukaona atuwakilishe JB,” amesema Ray. “Sisi tuna utaratibu wa kufanya kazi, zamani nilikuwa na utaratibu na marehemu Steven Kanumba ya kufanya kila mwaka sinema moja na kupimana ubavu kwenye filamu moja, kwahiyo baada ya kufariki Kanumba nikapanga na JB kila mwaka kutengeneza filamu moja ndio hiyo ambayo tumeianza na mambo ya misiba yakiisha tutarudi tena Uturuki kwenda kumalizia kazi. Hii ni mojawapo ya biashara na kuwatendea haki mashabiki wetu wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kwa sababu tunapata comments nyingi sana kwenye Instagram, Facebook na Twitter kwamba hebu jaribuni kucheza filamu moja Ray na JB tumuone nani zaidi. Nimecheza naye filamu nyingi lakini kwa kipindi hicho lakini kwa kipindi hiki kila mtu yupo juu. Ukiangalia JB amehit na mimi nipo juu pia kwahiyo tunahitaji kumtambua nani zaidi.”
Tunaomba Maoni yako Hapa :
Category: From Bongo Movies JB Mzee Majuto
Related Posts
Aunt Ezekiel aelezea tuhuma za kutoka kimapenzi na Dancer wa Diamond Plantumz
Mwigizaji wa filamu nchini Aunty ezekiel ameelezea tuhuma zilizozogaa siku kadhaa zilizopita kuwa ...Read more »
08Aug2014Mambo 5 ambayo huyajui kuhusu George Tyson kutoka kwa @VanessaMdee,@JokateM,@hemedyPHD na @AyTanzania, Inatia huzuni
Baada ya habari zilizoshtua watu wengi ni kuhusu kifo cha director mashuhuri George Tyson. Hivi sasa...Read more »
01Jun2014Gari alilopata nalo ajali Director George Tyson na picha za saa 4 kabla ya tukio
Dj Choka ambae kwa sehemu kubwa alikua kwenye safari moja ya Dodoma na Marehemu George Tyson, ameand...Read more »
31May2014Sad News: Bongo Movie wapata Pigo lingine 'Recho Haule' afariki Dunia
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika h...Read more »
26May2014Adam Kuambiana kuzikwa Jumanne katika makaburi ya Kinondoni, jijini Dar
Mazishi ya muongozaji na msanii wa filamu Adam Kuambiana yatafanyika Jumanne (May 20) katika makabur...Read more »
18May2014Hemedy PHD na King Majuto washuti filamu mpya ya Comedy jijini Mwanza
Hemedy PHD na muigizaji mkongwe Tanzania King Majuto wameshuti filamu yao mpya ya comedy kwa mara ya...Read more »
15Apr2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: