» » » Picha: P-Funk Majani atembelea kaburi la Rafiki yake kipenzi Albert Mangwair Morogoro

Katika kuazimisha siku ya Kifo cha Mangweir , amabayo ilikuwa  ni jana siku ya tarehe 28/5/ producer Mkongwe kwenye industry ya muziki P-Funk Majani ameongoza msafara wa watu mbalimbali mashuhuri kwenda Morogoro kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha Albert Mangwair. 



Tazama picha hizi za producer huyo akiwa na watu wengine kwenye kaburi la Ngwair.








Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply