» » » Video: Jay Z ashambuliwa kwa Kupigwa Makofi , Mateke na Mdogo wake Beyonce wa Kike aitwaye 'Solange'

Hayo yote yametokea wakati Jay Z na Beyonce walipouzuria Met Gala after party week iliyopita wakiwa na Solange party hiyo ilifanyika katika hotel ya Standard ambapo party hiyo ilienda vizuri mpaka mwisho na wakati Jay Z na Beyonce walipkuwa wakiondoka katika eno la tukio wakiwa na Mdogo wake Byonce aitwaye Solange .





Wakiwa hawana hili wala lile gafla mdogo wa Beyonce alianza kumfokea Jay Z na kuanza kupiga makofi licha ya kuzuiwa na Bodygurd  aliyekuwapo kwenye lift hiyo lakin bado alionekana kuwa na nia ya kile alichokuwa anakifanya kwani aliendelea kumpiga kwa miguu  wakati huo bado wakiwa ndani ya lift hiyo.

Tazama video hapa chini..




Chanzo hasa akijajulikana ni kwa nini Solamge aliamua kufanya vurugu hizo.


Source:Tmz

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply