Zikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kusitishwa kwa zoezi la upigaji kura za tuzo za MTV MAMA, mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amemsupport Diamond kwa kuwaomba mashabiki wa muziki na Watanzania kwa umoja kumpigia kura msanii huyo.
Msikilize Madame Rita akimsupport Diamond Platnumz katika tuzo za MTV MAMA
Msikilize Madee akimsupport Diamond Platnumz katika tuzo za MTV MAMA
Msikilize AY akimsupport Diamond Platnumz katika tuzo za MTV MAMA
Wewe je unatoa support gani ili kumuwezesha Diamond Platnumz kunyakuwa/kurudi na tuzo hizi Nyumbani..?

No comments: