Unaambwa Camera + Instagram = #Selfies. Hesabu hiyo inaweza kueleweka zaidi kwa wapenzi wa mtandao wa picha wa Instagram. Kwa muda mrefu sasa mtandao huo umekuwa kipenzi cha warembo wengi mjini ambao hutoa updates za picha kwa followers wao kuhusu nguo nzuri walizovaa, chakula kitamu wanachokula, party walizohudhuria na mambo mengine. Ni sehemu ambayo warembo kama Jacqueline Wolper, Lulu, Wema Sepetu, Irene Uwoya, Hamisa Mobeto, Agnes Masogange na wengine wanakimbiza.
Nargis Mohamed
Lakini kuna malkia mwingine ambaye anaonekana kuichukua Instagram kwa kishindo – Nargis Mohamed. Mshiriki huyo wa zamani wa Miss Tanzania, mrembo wa video na muigizaji wa filamu, amekuwa akiyapa shida macho ya wanaume wanaofollow kwa picha zake kali. Jionee.

No comments: