» » » Fifa wapiga marufuku wachezaji kuvaa headphone za beats by dre

Wiki mbili zimepita baada ya Beatz by Dre kuachia video ya dakika tano ikionesha wachezaji wakitumia headphone zao kabla ya mechi.



Video hiyo iliyowaonesha wachezaji kama Neymar, Jozy Altidore, Luis Suarez na weninge wakubwa na kuangaliwa zaidi ya mara milioni 13. Hata hivyo wachezaji hao hawatazitumia headphone hizo wakati huu wa kombe la dunia.

Hii ni kwa swababu FIFA imeingia mkataba na kampuni ya Sony na hivyo wachezaji wote watapewa headphone za bure za Sony na hawataruhusiwa kuonekana na headphone za Beatz.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply