Rihanna anamzimikia mchezaji wa Ghana, Kevin-Prince Boateng.Kupitia Twitter, Rihanna alisema kuwa kutokana na mchezaji huyo anayekipiga pia FC Schalke 04, alijikuta akiwa shabiki wa Ghana ilipokuwa ikicheza na Marekani jana.
Hata hivyo huenda Riri aliangushwa na timu hiyo baada ya kufungwa bao 2-1.
Hata hivyo huenda Riri aliangushwa na timu hiyo baada ya kufungwa bao 2-1.
No comments: