Picha: Pitbull na Jennifer Lopez wapamba sherehe za ufunguzi wa kombe la dunia 2014, Brazil
Maelfu ya mashabiki wamejitokeza jioni ya jana kwa saa za Brazil (June 12) katika sherehe za ufunguzi wa fainali za kombe la dunia 2014 kwenye uwanja wa ‘Arena de Sao Paulo’ nchini Brazil, ambapo Jennifer lopez, rapper Pitbull na mwimbaji wa Brazill Claudia Leitte wametumbuiza mbele ya mashabiki waliofurika kwa wingi na kuimba wimbo rasmi wa kombe la dunia kwa mwaka huu ‘We Are One (Ola Ola)’.
No comments: