» » WAZIRI MKUU WA THAILAND AONDOKA NCHINI JANA.





Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinwatra akipeana mikono na Meya wa Jiji la Dar es salaam Mstahiki Dkt Didas Masaburi wakati wa kuondoka kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku tatu hapa nchini Jana Agosti 1, 2013.


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply