Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM
» » VIDEO: WEMA SEPETU AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA AKIELEZEA JINSI BABA YAKE ALIVYOTESEKA MPAKA MAUTI ILIPOMCHUKUA

Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akielezea kuhusu msiba wa baba yake mzazi Balozi Abraham Isaac Sepetu alipoongea na GLOBAL TV. Balozi Sepetu alifariki asubuhi ya Jumapili Oktoba 27, 2013 katika hospitali ya TMJ jijini Dar na mwili wake unaagwa leo nyumbani kwake Sinza-Mori jijini Dar es Salaam tayari kwa mazishi yatakayofanyika kesho Visiwani Zanzibar. 



Angalia hapa Video:

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
MAMA WEMA SEPETU AITUHUMU SERIKALI KWA KUMTELEKEZA MUMEWE MPAKA AMEFARIKI
»
Previous
DARAJA LA KIKWETE KATIKA MTO MALAGARASI LAKAMILIKA

No comments:

Leave a Reply