Jeneza likifunikwa kwa bendera ya Taifa mara baada ya kushushwa katika Ndege
Mwili wa marehemu ukishushwa katika uwanja wa ndege wa nduli iringa maofisa wakinyanyua jeneza tayari kwa ajili ya kupakiwa kwenye gari uwanjani hapo
Mwili wa marehemu ukipelekwa kwenye gari
Madiwani wa mkoani iringa wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Mwili wa marehemu ukiwa kwenye ukumbi wa siasa ni kilimo tayari kwa kuagwa na wakazi wa iringaAskofu Ngalalekumtwa akimuombea marehemu
Waziri mkuu Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa marehemu Umati wa wananchi wa Iringa wakiwa na huzuni wakisubiri kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu Wananchi wa Iringa walijitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa marehemu
Bongo61 Inatoa Pole Kwa Wanafamilia na Taifa kwa Ujumla kwa Kumpoteza Waziri Muhimu sana Katika Nchi Yetu.
No comments: