Home
»
Entertainment
»
Queen Darleen
» Queen Darleen kuzindua video yake mpya April 6 – Club Bilicanas
Queen DARLEEN ambaye pia ni dada wa staa, Diamond Platnumz anatarajia kuionesha video ya wimbo wake “WANATETEMEKA” iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wake Jumapili hii, tarehe 6 April, 2014 kwenye ukumbi wa Club Bilicanas.
Kwa mujibu wa watu walioiona vide hiyo iliyoandaliwa kwa kiwango kikubwa, wamedai inategemewa kuleta mapinduzi makubwa katika tasnia ya video za muziki wa Bongo Flava hasa kwa ubunifu wake na kiwango kikubwa cha picha yenyewe kwa muonekano. Kwenye video hiyo wamo wasanii SHILOLE na DIAMOND PLATNUMZ ikiwa na maana kuwa kwa mara ya kwanza Kaka na Dada (QUEEN na DIAMOND) watokea kwenye video moja ambayo imetengenezwa hapa hapa nchini Tanzania na muandaaji wa video hiyo akiwa ni JERRY MUSHALA.
Wasanii watakaompa kampani QUEEN DARLEEN siku ya uzinduzi ni pamoja na WAKAZI, BARNABA, MWASITI, AMINI,ASIA,NASRY, VJ PENNY, RECHO, CINDY RULZ, PIMP SITTA, HERO pamoja na wasanii Bongo movies wakiwemo WOLPER, RADO na wengine kibao kwenye RED CARPET.
Source:Bongo5
Tunaomba Maoni yako Hapa :
Category: Entertainment Queen Darleen
Related Posts
Video: Queen Darleen Ft Shilole - Wanatetemeka.(Official Video)
Tazama hapa video mpya kutoka kwa Queen Darleen Ft Shilole - Wanatetemeka Official Video Ambayo imed...Read more »
12Apr2014Suprise ya Diamond Platnumz kwa Dada yake Queen Darleen ilizua haya, katika uzinduzi wa Video yake..
Kweli undugu kufaana na kusaidiana katika moja ua lingine, katika siku ya jumapili mwadada Queen Dar...Read more »
08Apr2014Picha: Shoo ya Queen Darlin ya uzinduzi wa video ya Wanatetemeka Maisha Club
Juzi jumapili Mwanadada Queen Darlin alikuwa anazindua video yake ya wimbo wake uanoitwa wanatetemek...Read more »
07Apr2014Video: Behind the scenes video ya Queen Darleen f/ Shilole 'Wanatetemeka '
Zikiwa zimebaki siku chache kutoka kwa video ya msanii Queen Darleen “WANATETEMEKA” aliyomshirikisha...Read more »
02Apr2014Picha: Utengenezwaji Wa Video Ya Wanatetemeka Ya Queen Darlen, Diamond Ndani.
Msanii aliyewahi kuhit na wimbo wa Maneno Maneno aliomshirikisha Dully Sykes, sasa amerudi tena na R...Read more »
10Mar2014Music: Wimbo ramsi wa tuzo za Afrimma ulioshirikisha wasanii 10 akiwemo Diamond, Yvonne Chaka chaka, Vanessa Mdee…
Wasanii kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanaowania tuzo za Afrimma wameungana kufanya wimbo rasmi w...Read more »
26Sep2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: