Kama wewe ni mTanzania na ni mzalendo kweli, bila shaka umeshaanza kumpigia Diamond Platnumz kura nyingi tu za kutosha hadi hivi sasa, Diamond Platnumz akiwa ndiye msanii pekee anayeiwakilisha Tzee hivi sasa kwenye tuzo mbali mbali tano za kimataifa alizokuwa nomunated.
Diamond Platnumz amekuwa kama shujaa katika kuipeperusha bendera ya taifa ulimwenguni, na anaendelea kuitendea haki heshima kubwa aliyopewa hadi hivi sasa ya kuitangaza nchi. Kwa wale ambao labda bahati mbaya walikuwa hawajui jinsi ya kumwezesha kushinda tuzo hizo za Mtv Mama, hivi ndio jinsi ya kumfanya the king huyu wa Bongo Fleva aweze kurudi nyumbani na tuzo hizo.
No comments: